Thursday, September 16, 2010

UJUMBE WANGU WA LEO

Sometimes people are nothing ....... you make them something ....when they become something they feel that your nothing

Thursday, September 9, 2010

Wednesday, September 8, 2010

UJUMBE WA LEO

IKIWA TUNAELEKEA KUUMALIZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADAN

mi naomba mola alie juu anipe afya na uzima ili niweze kuumaliza mwezi mtukufu kwa salama na familia yangu yote kwa ujumla na watembeleaji wote wa blog hii sote tuseme AMEEN

Friday, September 3, 2010

SIKU YA IDDI FITRI ITAKUWA KAMA HIVI

Siku ya IDDI FITRI kutakuwa na burudani nyingi vilevile bila kusahau tutakuwa na wanamziki wengi bila kusahau mwanamziki maarufu kutoka TANZANIA  sijuwi jina lake kamili ila mi namfaham kwa jina la CHID BNZ,  kama tutafika salama ndivyo itakavyo kuwa mi sipendi ukose katika show hiiiiiiiiiiiiiii yani itakuwa ni ful shangwe na raaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa kwenda  mbeleeeee

LEO KATIKA MIRINDIMO YA PWANI

Katika  mirindimo ya pwani ilikuwa hivi leo tulikuwa nae mzee YUSUPH upande wa mahojiano kutoka TZ mpaka BUJA upande wa mahojiano ilikuwa ni ful raaaaaaaaaaha hata mimi mwenye nilifurahi japokua leo nilikuwa siko sawa kivile ila sio mbaya nasa

Wednesday, September 1, 2010

mtaka cha uvunguni sharti ainame hapa kp au masoudi kipanya akiwa kweny kazi zake za kudizain

MASOUDI KIPANYA

Jama anaitwa  MASOUDI KIPANYA naweza sema kama kuna watu  wanajituma jama ni wakwanza katika kujituma katika kazi zake kama utakumbuka jama ndo anae anda  SHOW  TV ya  MAISHA PLUS kiukweli anajituma sana     ni baba wa watoto wa wili   ukitaka mengi kuhusu MASOUDI KIPANYA sikiliza kipindi cha MIRINDIMO YA PWANI siku ya IJUMA

HEMEDI NA YUSUPH MLELA WAZIDUNDA KIUKWELI

Hi ni story ya movie ila ni kweli kabisa yametokea wakati wa kushoot  filamu ya WILLIAM MTITU ambapo vijana hao walijikuta wakizichapa awali vijana hao walikuwa ndani ya bifu kali ukitaka kujuwa kilicho sababisha wazichape  ungana na mimi siku ya IJUMA NDANI YA KIPINDI CHA MIRINDIMO YA PWANI nitakupa story mwanzo mpaka mwisho