Tuesday, January 3, 2012

HAPPY NEW YEAR 2012

kwa uwezo wake muumba wa mbingu na nchii na viumbe vyote vinavyo onekana na visivyo onekana tunakutana tena katika mwaka 2012 mwaka 2011ulikuwa na changamoto nyingi sana kwangu lakini bado sijachoka kupambana.mwaka huu 2012 tuendeleye kutimiza ndoto na kufikia malengo, kushirikiana kwa hili na lile , kunyanyuka tulipo dondoka,kushinda tuliposhindwa, kujaribu tulichoogopa, kusamehe tulipo kosewa kujisamehe mwenyewe na kufunguwa milangokwa mengi mapya. nawashukuru sana wadau kwani mmendelea kuwa sehem ya maisha yangu na nina wapenda sana. KHERI YA MWAKA MPYA WA 2012