Friday, December 31, 2010
Thursday, December 16, 2010
SITHANI KAMA KUNA MTU ASIE SHUKURU
Nilipo anza kazi nilikutana da dada angu ambae tulizoweana kwa muda wapo weni ambao nilikutana nao ila huyu mmoja naweza kusema kwamba ndie alie nipa ujasiri na nguvu mwanzoni niliona kama vile ndoto lakini kwa mapenzi ya mola alie juu niseme asante ambae alimpa dada huyu moyo na kuweza kunifunza kazi nae si mwingine bali ni khadidja khasan DJ HONEY yeye ndo alinionyesha gisi ya kuka studio na kusema na watu kukusikia aliweza kunionyesha gisi ya kupanga nyimbo na gisi ya kuwapa wasikilizaji kitu roho inapenda mi namshukuru sana na pia namshukuru mola muweza wa yote mpaka hapa nilipo fikia amin
Thursday, December 9, 2010
DUU NIMEWAMISI SANA WAPENZI WA BLOG HII
Msijali hivi karibuni tutakuwa pamoja ausioo, kwa muda mrefu nilikuwa nipo kimya na ubize ulikuwa mwingi na mambo mengi alafu isitoshe sehem ambapo nilikuwa nipo palikuwa hamna connection but kwa sasa tutakuwa pamoja
Monday, November 1, 2010
Saturday, October 16, 2010
NZANGA MOBUTU
Hizi ni baathi ya sehem aliyo kuwa akitembelea katika sherehe ya akina mama duniani hapa akiwa kusini mwa nchii jirani ya kidemokrasia ya congo
Thursday, October 7, 2010
NIMEPENDA POZI ZAO
Picha hii imenifurahisha mpaka nikaamuwa iwe hapa kutoka kushoto ni Adam mchomvu, Dj fetty ,Chid benz B12
Thursday, September 16, 2010
UJUMBE WANGU WA LEO
Sometimes people are nothing ....... you make them something ....when they become something they feel that your nothing
Saturday, September 11, 2010
Thursday, September 9, 2010
Wednesday, September 8, 2010
IKIWA TUNAELEKEA KUUMALIZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADAN
mi naomba mola alie juu anipe afya na uzima ili niweze kuumaliza mwezi mtukufu kwa salama na familia yangu yote kwa ujumla na watembeleaji wote wa blog hii sote tuseme AMEEN
Friday, September 3, 2010
SIKU YA IDDI FITRI ITAKUWA KAMA HIVI
Siku ya IDDI FITRI kutakuwa na burudani nyingi vilevile bila kusahau tutakuwa na wanamziki wengi bila kusahau mwanamziki maarufu kutoka TANZANIA sijuwi jina lake kamili ila mi namfaham kwa jina la CHID BNZ, kama tutafika salama ndivyo itakavyo kuwa mi sipendi ukose katika show hiiiiiiiiiiiiiii yani itakuwa ni ful shangwe na raaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwa kwenda mbeleeeee
LEO KATIKA MIRINDIMO YA PWANI
Katika mirindimo ya pwani ilikuwa hivi leo tulikuwa nae mzee YUSUPH upande wa mahojiano kutoka TZ mpaka BUJA upande wa mahojiano ilikuwa ni ful raaaaaaaaaaha hata mimi mwenye nilifurahi japokua leo nilikuwa siko sawa kivile ila sio mbaya nasa
Wednesday, September 1, 2010
MASOUDI KIPANYA
Jama anaitwa MASOUDI KIPANYA naweza sema kama kuna watu wanajituma jama ni wakwanza katika kujituma katika kazi zake kama utakumbuka jama ndo anae anda SHOW TV ya MAISHA PLUS kiukweli anajituma sana ni baba wa watoto wa wili ukitaka mengi kuhusu MASOUDI KIPANYA sikiliza kipindi cha MIRINDIMO YA PWANI siku ya IJUMA
HEMEDI NA YUSUPH MLELA WAZIDUNDA KIUKWELI
Hi ni story ya movie ila ni kweli kabisa yametokea wakati wa kushoot filamu ya WILLIAM MTITU ambapo vijana hao walijikuta wakizichapa awali vijana hao walikuwa ndani ya bifu kali ukitaka kujuwa kilicho sababisha wazichape ungana na mimi siku ya IJUMA NDANI YA KIPINDI CHA MIRINDIMO YA PWANI nitakupa story mwanzo mpaka mwisho
Saturday, August 28, 2010
FALLY IPUPA
Kijana huyu huwa ananikosha sana moyo hasa pale anapokuwa jukwaani mi napenda vitu vyingi sana kwake kwanza anavyo kata mauno yaaaaaaaaaani weacha tu anaitwa FALLY IPUPA au DICARPE kiukweli mi namfill ile mbaya,ni hayo tu NAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA WAPENZI WOTE WA BLOG HII
Thursday, August 26, 2010
KINGINE USICHO JUWA
Katika upande wa burudani na mambo mengine namzungumzia bi dada Zamaradi mtetema ambae ni best wangu na pia ni mtangazaji wa CLOUDS TV siku chache zilizopita ilikuwa ni uzinduzi wa kipindi chake kipya cha TAKE ONE kutoka kushoto ni JACKLINE WOLPER,ZAMARADI MTEKEMA alie valia dira za blue ROSE NDAUKA ,AUNT EZEKIEL na MAYASA MRISHO
KUNA KITU NASHINDWA KUELEWA
Hivi unaweza kupenda alafu wewe usipendwe kwa nini nakama unatokewa na jambo kama hilo ni maamuzi gani uyafanye ili jambo hilo likuepuke.
LEO NI HISTORIA KATIKA NCHII YA BURUNDI
Leo tarehe 26/8/2010 ni siku ya historia katika nchi yetu ya burundi kwa mara ya kwanza katika nchi iya burundi Rais anachaguliwa ili aweze kuiongoza nchii kwa miaka5 mingine ni historia ,leo PIERRE NKURUNZIZA amekuwa rais na ataweza kuingoza nchii kwa miaka 5 mingine, mimi namuombea kwa mola alie juu ampe uhai katika kuiongoza taifa letu mungu bariki africa mungu bariki nchii yangu BURUNDI
TUKUTANE HAPA ILITUELIMISHANE
Muhali gani wana wa Africa nakukaribisha hapa katika hii blog ili tuweze kuchangia mawazo nakuelimishana kupitia njanya tofauti za maisha kwakuwa inafahamika vyema katika maisha kuna furaha na masikitiko nakunavijikaraha na mijikaraha kwahiyo karibu katika blog yangu mwenyewe.
Subscribe to:
Posts (Atom)