Thursday, August 26, 2010

LEO NI HISTORIA KATIKA NCHII YA BURUNDI

Leo tarehe 26/8/2010 ni siku ya historia katika nchi yetu ya burundi kwa mara ya kwanza katika nchi iya burundi Rais anachaguliwa ili aweze kuiongoza nchii kwa miaka5 mingine ni historia ,leo PIERRE  NKURUNZIZA amekuwa rais na ataweza kuingoza nchii kwa miaka 5 mingine, mimi namuombea kwa mola alie juu ampe uhai katika kuiongoza taifa letu mungu bariki africa mungu bariki nchii yangu BURUNDI

No comments:

Post a Comment