Saturday, August 28, 2010

mahaba matam hasa ukiwa nawako mtajiju mnao umia unaambiwa penzi limesha andikwa mtasema hadi kiama penzi limesimama wima lol.
Bwana teves husband wa isha

ISHA ATIMIZA MWAKA MMOJA NDANI YA NDOWA YAKE WALIOSEMA IMEVUNJIKA MTAJIJU,AFTURISHA NA KUOMBA DUWA IDUMU WAPAMBE MPOOOOO.

sura yake inaonyesha haachiki leo wala kesho ndio kwanza penzi moto inaumiz ioyooo

FALLY IPUPA

Kijana huyu huwa ananikosha sana moyo hasa pale anapokuwa jukwaani mi napenda vitu vyingi sana kwake kwanza anavyo kata mauno yaaaaaaaaaani weacha tu anaitwa FALLY IPUPA au DICARPE kiukweli mi namfill ile mbaya,ni hayo tu NAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA WAPENZI WOTE WA BLOG HII

Thursday, August 26, 2010

Bi dada ZAMARADI MTEKEMA  akiwa pamoja na YVONE CHERRY ndani ya pozi ,UMENISOMA MPAKA HAPO hapa ni raaaaaaaaaaaaaaaa kwa kwenda mbeleeeeeeeeee

KINGINE USICHO JUWA

Katika upande wa burudani na mambo mengine namzungumzia bi dada Zamaradi mtetema ambae ni best wangu na pia ni mtangazaji wa CLOUDS TV siku chache zilizopita ilikuwa ni uzinduzi wa kipindi chake kipya cha TAKE ONE kutoka kushoto ni JACKLINE WOLPER,ZAMARADI MTEKEMA alie valia dira za blue ROSE NDAUKA ,AUNT EZEKIEL na MAYASA MRISHO

KUNA KITU NASHINDWA KUELEWA

Hivi  unaweza kupenda alafu wewe usipendwe kwa nini nakama unatokewa na jambo kama hilo ni maamuzi gani uyafanye ili jambo hilo likuepuke.

LEO NI HISTORIA KATIKA NCHII YA BURUNDI

Leo tarehe 26/8/2010 ni siku ya historia katika nchi yetu ya burundi kwa mara ya kwanza katika nchi iya burundi Rais anachaguliwa ili aweze kuiongoza nchii kwa miaka5 mingine ni historia ,leo PIERRE  NKURUNZIZA amekuwa rais na ataweza kuingoza nchii kwa miaka 5 mingine, mimi namuombea kwa mola alie juu ampe uhai katika kuiongoza taifa letu mungu bariki africa mungu bariki nchii yangu BURUNDI

TUKUTANE HAPA ILITUELIMISHANE

Muhali gani wana wa Africa nakukaribisha hapa katika hii blog ili tuweze kuchangia mawazo nakuelimishana kupitia njanya tofauti za maisha kwakuwa inafahamika vyema katika maisha kuna furaha na masikitiko nakunavijikaraha na mijikaraha kwahiyo karibu katika blog yangu mwenyewe.